KOSA KUBWA WANALOLIFANYA CONTENT CREATORS WA AFRIKA MPAKA WANAKUWA HAWAINGIZI PESA NI DHARAU KWA FOLLOWERS WAO.
blogutz.com
Yaani mtu akishapata followers laki 3 laki 9 milioni anajiona diamond platnumz kwanza mwingine anazuia dm kabisa hakuna kuchat nae kabisa yaani wewe si levo yake Tena sababu ana followers wengi tik tok anajiona yaani ndo Rais ujue. Mwingine anaweka namba za Simu lakini kujibu meseji Tena haipooo ni DHARAU kwenda mbele.

Mtu akitaka amtangazie biashara kwenye page yake lakini maskini ya Mungu ana elfu 5 tu mfukoni dharaau kwamba elfu 5 inamsaidia Nini hajui akipokea elfu 5 Kwa kila mtu kwenye followers laki 5 hakosi watu 50,000 watakaovutiwa kutangaziwa biashara Kwa Tsh elfu 5 hapo Kwa mwaka hakosi 50,000 x5000 = 250,000,000 unakosa milioni 250 sababu ya kudharau elfu 5 ya mteja endelea kujiita content creator ukisubiri muzuungu akulipe utabaki kama ulivyo na tutaendelea kukuita cheap labour wa muzunguuu admin asiyeingiza pesa ya maana sisi tunamwita ni c h eap labour wa mkoloni
Pata blog yako Leo acha kupoteza muda kwenye platform za mabeberu na kujiona JayZee au 50 cent na rihana
Wajanja tunajiunga na program ya blogging inayounganisha blog 1000 ni kulipwa msharaha kila mwezi bila kusubiri watu waview ads.
Leave a Reply